Your Pathway to Success

Jionee Ufundi Wa Kisasa Wa Kupaua Kwa Kuficha Paa La Nyumba Siyo Kila

jionee Ufundi Wa Kisasa Wa Kupaua Kwa Kuficha Paa La Nyumba Siyo Kila
jionee Ufundi Wa Kisasa Wa Kupaua Kwa Kuficha Paa La Nyumba Siyo Kila

Jionee Ufundi Wa Kisasa Wa Kupaua Kwa Kuficha Paa La Nyumba Siyo Kila Subscribe hapa : bit.ly 2ubtyagtufuate kwenye twitter : bit.ly 2ufkrwhlike ukurasa wetu wa facebook : bit.ly 2xbyro5channel administe. Hivyo basi, inahitajika umakini na utaalamu ktk kujenga mfumo wa paa wa nyumba za contemporary paa lililofichwa ili kuhakikisha unaifurahia nyumba yako vyema ktk kipindi chote cha uhai wa nyumba. hakikisha unakuwa makini kutumia wataalamu wenye weledi na ubora wa kazi tangu katika usanifu wa nyumba hadi ujenzi ili kuepuka gharama za baadaye za.

jionee ufundi wa kisasa wa kupaua kwa kuficha paa
jionee ufundi wa kisasa wa kupaua kwa kuficha paa

Jionee Ufundi Wa Kisasa Wa Kupaua Kwa Kuficha Paa About press copyright contact us creators advertise developers terms privacy press copyright contact us creators advertise developers terms privacy. Je rohi said: kwangu mimi; 1. nyumba zenye mwonekano bomba sana. 2. gharama za paa ni nafuu sana karibu robo ya nyumba za kawaida. 3. tatizo wengi hawazijui namna ya kuzijenga. hujajibu swali langu.nimekuuliza una elimu ya kiwango gani katika masuala ya ujenzi wa nyumba. Kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya kuvuja kwa nyumba za kisasa aina ya “contemporary” ambazo bati za nyumba lenyewe zinakuwa hazijatokeza kwa nje kwa sababu linafichwa na kuta za “parapet” hivyo kutegemea “gutter” ya zege katika kukusanya na kuondoa maji ya mvua juu ya paa. ni kweli malalamiko haya ni mengi sana na kweli. Nyumba hizi ni nafuu sana kwa upande wa paa bati na mbao. kitu kinachoongeza gharama ni urembo tu. kimsingi mtu mwenye uelewa sahihi urembo mwingi huharibu mwonekano wa nyumba hizi. jambo muhimu ni; 1. msingi mrefu nyumba iinuke 2. madirisha makubwa 3. urembo kiasi plain design inapendeza zaidi.

Namna Ya Kujenga Na Kurekebisha Kuvuja paa kwa nyumba Za Contemporary
Namna Ya Kujenga Na Kurekebisha Kuvuja paa kwa nyumba Za Contemporary

Namna Ya Kujenga Na Kurekebisha Kuvuja Paa Kwa Nyumba Za Contemporary Kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya kuvuja kwa nyumba za kisasa aina ya “contemporary” ambazo bati za nyumba lenyewe zinakuwa hazijatokeza kwa nje kwa sababu linafichwa na kuta za “parapet” hivyo kutegemea “gutter” ya zege katika kukusanya na kuondoa maji ya mvua juu ya paa. ni kweli malalamiko haya ni mengi sana na kweli. Nyumba hizi ni nafuu sana kwa upande wa paa bati na mbao. kitu kinachoongeza gharama ni urembo tu. kimsingi mtu mwenye uelewa sahihi urembo mwingi huharibu mwonekano wa nyumba hizi. jambo muhimu ni; 1. msingi mrefu nyumba iinuke 2. madirisha makubwa 3. urembo kiasi plain design inapendeza zaidi. Uzuri au ubaya wa kitu chochote upo kwa mtu anayehitaji hicho kitu. ndiyo maana pamoja na watu kusikia kwamba nyumba za namna hiyo huvuja sana (mabaya) lakini hawaachi kujenga. ila kwa upande wangu naweza sema, uzuri wa nyumba hizi kwa uchache 1. Tumekuandalia contempoary houses ambazo unaweza kujenga tanzania huku tukiwa tumeangalia uchumi, tamaduni, hali, ufundi… ambao upo katika mazingira yetu tanzania lakini pia bila kuharibu ladha, utamu, ubora… wa contemporary ili mtanzania uweze uweze kupata maximum satsfaction na kutimiza hamu yako.

Comments are closed.