Your Pathway to Success

Maandalizi Ya Kitalu Cha Kusia Mbegu Ya Nyanya Salina F1 Agriculture Nyanya Kilimo Miche

maandalizi ya kitalu cha kusia mbegu ya nyanya sa
maandalizi ya kitalu cha kusia mbegu ya nyanya sa

Maandalizi Ya Kitalu Cha Kusia Mbegu Ya Nyanya Sa Salina f1, the outdoor semi determinate hybrids tomato seed variety, bred to adapt well on african soils. now available at epinav agricultural solutions sali. Imara f1 nyanya bora ya chotara yenye mavuno mengi inayofaa wakati wa mvua na kiangazi.mbegu bora za nyanyakutokana na tabia ya ukuaji, mbegu za nyanya zinag.

Maendeleo ya nyanya salina f1 Kwanzia kusia mbegu Hadi Kutoa Mat
Maendeleo ya nyanya salina f1 Kwanzia kusia mbegu Hadi Kutoa Mat

Maendeleo Ya Nyanya Salina F1 Kwanzia Kusia Mbegu Hadi Kutoa Mat Kiasi cha mbegu za nyanya kwenye kilimo cha nyanya kwa ekari moja utahitaji mbegu gram 100 150 kwa opv variety, na gram 30 50 kwa hybrid (f1) . gharama za kutosha ekari moja kwa opv variety ni tsh 100,000 180,000, na kwa hybrid (f1) gharama ni kati ya tsh 200,000 400,000 kutegemea na aina yenyewe ya mbegu na hekari. Karibu epinav agricultural solutions ujifunze kilimo chenye faida cha zao la nyanya, anza kwa kuagiza mbegu bora ya salina f1 .kwa elimu na huduma zetu. About press copyright contact us creators advertise developers terms privacy policy & safety how works test new features nfl sunday ticket press copyright. Kilimo cha nyanya. nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya peru equador huko amerika ya kusini. mmea huu ulianza kuzalishwa kama zao katika nchi ya mexico na baadaye kusambaa katika nchi nyingine za ulimwengu. nchi.

Comments are closed.