Your Pathway to Success

Single News Songea Municipal Council

single News Songea Municipal Council
single News Songea Municipal Council

Single News Songea Municipal Council Tarehe ya kuwekwa: august 6th, 2024. katika kupambana na udumavu pamoja na utapiamlo, halmashauri ya manispaa ya songea kupitia kitengo cha lishe kimefanya uchunguzi wa hali ya lishe kutumia mzingo wa mkono kwa watoto chini ya miaka mitano, pamoja na upimaji wa uzito kulingana na umri wa mtoto, katika kipindi cha aprili hadi juni 2023 2024. Songea municipal council . anuani ya posta: p o box 14, songea . simu ya mezani: 025 2602970 . simu ya kiganjani: barua pepe: [email protected].

single News Songea Municipal Council
single News Songea Municipal Council

Single News Songea Municipal Council Ramani ya mahali wasiliana nasi. songea municipal council . anuani ya posta: p o box 14, songea simu ya mezani: 025 2602970 simu ya kiganjani: barua pepe: [email protected]. Serikali imetoa shilingi milioni 893 kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya shule za msingi (boost) katika halmashauri ya manispaa ya songea. hayo yamesemwa na mkurugenzi wa manispaa ya songea dkt.frederick sagamiko wakati anatoa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya boost kwa mkuu wa mkoa wa ruvuma kanali laban thomas alipofanya ziara ya siku moja ya kukagua miradi hiyo. Souwasa yafikisha huduma ya maji safi kwa wakazi 216,706 songea. imewekwa kuanzia tarehe: april 9th, 2021. mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira katika manispaa ya songea (souwasa) ni moja ya taasisi za serikali zilizo chini ya wizara ya maji.hata hivyo kulingana na takwimu za souwasa, ni watu 216,706, sawa na asilimia 86.2 ndiyo kwa sasa. Songea municipal council aspires to have a community that enjoys high and sustainable living standards. songea municipal council in collaboration with all the stakeholders intends to offer quality and sustainable services to its community through proper use of available resources and those that will come, through adherence to the transparent and democratic principles so that in the long run.

Comments are closed.