Your Pathway to Success

Ubunifu Wa Mabanda Ya Kisasa Kwa Kuku Aina Zote

kuku Project mabanda Bora ya kuku
kuku Project mabanda Bora ya kuku

Kuku Project Mabanda Bora Ya Kuku Hivyo katika wastani huo, ule wa chini kabisa kuku 6 ndio utakaofaa zaidi kwa kuku wa kienyeji na ule wa juu zaidi kuku 10 utafaa zaidi kwa kuku wa kisasa wawe wa nyama au hata wa mayai. na kwa upande wa kuku chotara basi unaweza ukawaweka hapo katikati labda tuseme kuku 7 au 8 katika mita ya mraba moja .mita ya mraba 1 hapa namaanisha ( mita. Hakikisha wanapata chanjo ya newcastle wiki ya pili kwa kukuwapya utakaowaleta. ni muhimu sana. pia viatamini na madini kama utakavyoshauriwa na watalamu wa mifugo. 3a. kama una uwezo mzuri ni vizuri kufuga kwa awamu. mathalani wapishane kwa wiki 2, (yaani unaingiza kukuwapya kila baada ya wiki mbili).

Ujenzi wa mabanda ya kuku Isiwe Kikwazo Cha Wewe Kuanzisha Biashara ya
Ujenzi wa mabanda ya kuku Isiwe Kikwazo Cha Wewe Kuanzisha Biashara ya

Ujenzi Wa Mabanda Ya Kuku Isiwe Kikwazo Cha Wewe Kuanzisha Biashara Ya Mabanda ya kuku au nyumba kwa ajili ya kufugia kuku ukiacha chakula ndiyo kitu kinachogharimu uwekezaji mkubwa tena katika biashara ya ufugaji wa kuku aina yeyote ile iwe ni kuku wa mayai, kuku wa nyama, kuku wa kienyeji au hata kuku chotara, kabla hata mfugaji hajaamua kwenda kununua vifaranga ni lazima kwanza afahamu akishawaleta vifaranga wake ama kuku hao atawaweka wapi. Pakua app ya ufugaji bora na kubota kuna maandiko mengi ya ufugaji kuku wa kienyeji! nawasilisha kwenu mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! nimeandika kuwalenga wajasiliamali ambao hawana nguvu kifedha kujenga mabanda ya kisasa, mashine kutotolesha vifaranga, kutibu magonjwa wala kujenga wigo (fence) n,k. naomba mzijue mbinu hizi nisije kufa nazo. Unapotaka kujenga banda la kuku kwanza kabisa tayarisha vifaa vinavyotakiwa. vitu kama miti au nyasi, nyavu au fito, misumari au kamba ni muhimu kuviandaa mapema. pili ni lazima uwe na plani ramani kamili ya banda hilo. kwa wastani kila kuku anahitaji nafasi ya meta za eneo la 0.11 hadi 0.22 (futi 1 hadi 2 za eneo.) kutegemeana na umri wa kuku. Njia mbili za kulea kuku bandani. jumamosi, novemba 25, 2017 — updated on machi 16, 2021. mfugaji saria munisi wa bomang’ombe mkoani kilimanjaro, akiwahudumia kuku anaowafuga katika mabanda maalumu (cages). hii ni mojawapo ya njia mbili za kulea kuku wakiwa bandani. picha na clement fumbuka.

Comments are closed.